Posts

Zulu Unity Is Power

Image
CONTINUE TO PLAY VIDEO wanajiuliza na hawajawahi pata majibu sahihi hususan wale ambao wako kwenye lindi la mapenzi.Baadhi ya wasanii kama vile Bahati Musyoka msanii wa nyimbo za injili  ameweza kuangazia swala hili katika wimbo wake na kusadiki kuwa mapenzi yalianzia kwenye shamba  la edeni, mie sijui kama ni kweli. Wanafunzi wengi katika vyuo vikuu nchini wanajitia  kwenye uhusiano bila kujua hatima yake.Kila mmoja anatamani kuwa na  mpenzi   kwa sababu wana uhuru kupindukia.Kutokana na uchunguzi nilioufanya, asilimia kubwa ya mahusiano   ya kimapenzi vyuoni hayadumu.Uchunguzi wangu ulidhihirisha kuwa wanafunzi wengi si waaminifu na mara nyingi huwa na “michepuko”.Mwanaume anaweza kuwa na mchumba  zaidi ya mmoja  jambo ambalo si tofauti kwa wasichana.Kusudi la washichana au wavulana kuchepuka au kusaliti uhusiano ni upi?Uchunguzi ulidhihirisha kuwa wengi wao hutaka kukidhiwa mahitaji ya kifedha bila kuzingatia kuwa wanaowategemea...